JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ngorongoro wapinduana

Uongozi wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro mkoani Arusha umepinduliwa. Waliochukua hatua hiyo wanawatuhumu viongozi hao kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za baraza hilo. Uongozi wote wa juu umeondolewa. Walioondolewa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji, Edward…

Ripoti yafichua madudu uuzwaji shamba la KNCU

Uuzwaji wa shamba kubwa la kahawa la Gararagua lililopo Wilaya ya Siha mali ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) umedaiwa kugubikwa na madudu mengi, ikiwamo kuuzwa chini ya thamani halisi ya bei ya soko, pamoja na kutokujulikana zilipo…

Mtikisiko ajali ya lori Moro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameunda timu maalumu kuchunguza tukio la mlipuko wa lori la mafuta ulioua watu 71  na majeruhi 59 kwa mujibu wa takwimu za hadi Jumapili alasiri. Timu hiyo inatarajiwa kukamilisha kazi zake Ijumaa wiki hii na kwa…

SADC ivunje minyororo iliyowekwa na wakoloni

Agosti ya mwaka huu 2019 ni ya kipekee kwa taifa letu. Tumepokea wageni wengi wanaohudhuria Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Fursa za aina hii hujitokeza mara chache, kwa hiyo kila Mtanzania…

NINA NDOTO (30)

Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya   Mtu anapokuwa na ndoto mara ya kwanza huwa haipo katika uhalisia, bado inakuwa haijatimilika. Kwa msingi huo, unapokuwa na ndoto, kaa kimya usipige kelele. Mojawapo ya kosa kubwa alilolifanya Yusufu ni kuwaambia…

Mama mkwe wa Naomi alonga

Ni jioni ya saa 11 Jumatatu Agosti 5, 2019. Nipo ofisini. Mara napata simu, namba siifahamu. Mtu huyu ananiambia anataka kuiongezea nyama habari tunayochapisha kuhusiana na mauaji ya Naomi Marijani (36), anayedaiwa kuuawa na mumewe, Hamis (Meshack) Said Luwongo (38)….