JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Afrika Mashariki kukumbwa na ukame

Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Nchi za Jumuiya ya IGAD, kinasema kuwa eneo la Afrika Mashariki litapata hali ya ukame kuliko kawaida kati mwezi wa Januari na Machi 2025. Katika utabiri wake uliotolewa Jumatatu, kinasema Ethiopia, Uganda,…

Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine

Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine zilidunguliwa katika maeneo sita ya Urusi usiku kucha, ikiwa ni pamoja na yale yaliyo mbali na mipaka ya Ukraine. Ujumbe mfupi kutoka kwenye mitandao ya kijamii…

Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa kutotabirika kwa Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kunaweza kusaidia kumaliza vita na Urusi. Trump, ambaye anatarajiwa kuapishwa rasmi Januari 20, aliahidi kuumaliza mzozo huo wa muda mrefu wa takriban miaka mitatu ndani…

Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi

Polisi Kata ya Mlangali Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Robert Asumile Kasunga amekemea kitendo cha wananchi wa kijiji hicho kuuza na kunywa Pombe za kienyeji muda wa kazi na badala yake watumie muda huo kujishughulisha…

Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo

Mkuu wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker Turk, amekaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa kufuta hukumu ya kifo na kutoa wito kwa nchi nyingine kuchukua hatua kama hiyo. Mapema wiki hii, Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa…

Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza

Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo maafisa wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la polisi linaloongozwa na Hamas. Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza,…