JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Samatta kuweka historia UEFA

Pazia la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) linafunguliwa rasmi leo kwa msimu wa 2019/2020 ambapo timu 16 zitakuwa uwanjani zikipepetana na nyingine idadi sawa na hiyo zitapambana kesho katika hatua ya kwanza ya kutafuta bingwa. Katika Ligi ya Mabingwa…

Waziri aharibu

Mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) umedumu kwa miaka miwili sasa, huku Waziri wa Maji akitajwa kuwa chanzo cha mkwamo huo. Wakati Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa, akitajwa kuwa chanzo kutokana…

Ndoto ya JPM ya zimamoto kutengenezwa nchini yatimia

Machi, mwaka huu, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais John Magufuli, aliliagiza Shirika la Nyumbu lianze kutengeneza magari ya zimamoto. Hoja ya Rais Magufuli ilikuwa kwamba mpango huo ulenge kupunguza gharama kubwa za ununuzi wa magari…

‘Aliyeua’ mkewe mahakamani leo

Mfanyabiashara Khamis Lowongo (Meshack) mwenye umri wa miaka 38 anayetuhumiwa kumuua mke wake, Naomi Marijani, kwa kumchoma moto akitumia magunia mawili ya mkaa Kigamboni, jijini Dar es Salaam amekuwa na vituko mbalimbali kila afikapo mahakamani. Mtuhumiwa huyo kwa mara ya…

Mimba za utotoni tishio Tarime/Rorya

Mimba za utotoni sasa zimekuwa tishio wilayani Tarime, mkoani Mara. Taarifa rasmi zinaonyesha kwamba katika kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu wanafunzi 51 wanatajwa kupata mimba na kuathiri masomo yao. Akisoma taarifa ya wilaya hiyo, Kaimu Mkurugenzi, Silvanus Gwiboha, amesema kuanzia…

Raia wa Afrika Kusini atupwa jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu Christine Lindiwe ambaye ni raia wa Afrika Kusini kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria. Katika kesi namba…