JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mtanzania usivunje nchi yako

Mabeberu hawawezi kuhujumu na kudhulumu utu na uchumi wa Mtanzania bila kibali cha Watanzania. Kibali hiki hutolewa na Watanzania wachache vibaraka wenye uroho na tamaa ya ukubwa na utajiri wa haraka haraka. Mimi na wewe, Mtanzania mwenzangu wa karne hii,…

Yah: Tupunguze msongo

Kwanza, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wote waliokuwa nasi katika kipindi cha mpito wa magumu ya kifo cha mwenzetu, Godfrey Dilunga. Miji na kaya zetu zimezizima kwa baridi ya simanzi kutokana na kifo chake. Hili limetokea kama ambavyo sisi wenye…

Mafanikio katika akili yangu (2)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Kila siku Noel alikuwa anaitwa ofisini kwa mhasibu, kusoma kwake kulikuwa kwa shaka, hakuwa na furaha. Aliishi kwa wasiwasi muda wote alipokuwa shuleni. ‘Nitafanyaje, nitafanyaje?’ ndilo lilikuwa swali lake kila mara kijana Noel….

Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (1)

Jina Barnaba Classic pengine si geni masikioni mwako! Huyu ni mwanamuziki na si msanii kama wanavyoitwa wengine, maana ameenea kila idara inayokidhi mwanamuziki kuitwa hivyo. Unaweza kusema Barnaba Classic ni almasi iliyong’arishwa na Tanzania House of Talents (THT), maana yeye anasema alizaliwa…

Tuwekeze, tushindane CAF

Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika huingiza kwenye akaunti zaidi ya dola milioni 1.5. Si fedha chache, na ni chanzo cha mtaji wa timu nyingi zinazobeba taji hilo. Klabu kama TP Mazembe inawalipa mshahara wachezaji kutoka mataifa mengi ya…

Ridhiwani matatani

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umemfurusha Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika nyumba ya serikali anayoishi jijini Dodoma, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umethibitisha. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kwamba mbunge huyo alishindwa kukamilisha…