Latest Posts
Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati waishukuru JWTZ
Umoja wa viongozi wa madhehebu ya dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameonesha imani kubwa ya ulinzi wa amani unaotolewa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini humu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti mara baada ya kutembelewa na…
Waziri Ulega kuwapima mameneja kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika wakati wote. Ameyasema hayo leo wakati…
Baraza la Mitihani la Tanzania lafuta matokeo kwa wanafunzi 105 wa darasa la nne, 46 Kidato cha Pili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote kwa jumla ya wanafunzi 105 wa darasa la nne na 46 wa kidato cha pili kwa kufanya udanganyifu na kuandika matusi. Aidha Baraza hilo limefungia…
DC Kyobya : Hairuhusiwi kulima, kuchunga ndani ya Pori la Akiba la Kilombero
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kilombero Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi Pori la Akiba Kilombero ambalo ni mahsusi kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu…
Timu za Afrika Mashariki kukutana kisiwani Pemba katika Kombe la Mapinduzi
Michuano ya Kombe la Mapinduzi, inafungua pazia leo visiwani Zanzibar, ambapo Kilimanjaro Stars kutoka Tanzania bara itakutana na timu ya taifa ya Zanzibar Heroes usiku wa leo, katika uwanja wa Gombani kisiwani Pemba. Timu nyingine zitakazoshiriki michuano hiyo ni Burkina…