JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (3)

Kinachokosekana kwenye yai kitafute kwenye kuku. Panga kuwa na kuku. Hatupangi kushindwa, tunashindwa kupanga. Kinachokosekana kwenye mto kitafute kwenye ziwa. Ukitamani kwenda mbali liache yai, tafuta kuku. Wacha kitanda ili kutanda. (Methali ya Kiswahili). Kutanda ni kuenea au kutandaa. Ukitamani kwenda…

Mambo matatu yapelekwa Umoja wa Mataifa

Suala la mazingira na matatizo ya tabia ya nchi, kuondolewa vikwazo nchini Zimbabwe na Bara zima la Afrika kuwa la viwanda ni mambo makuu ambayo Tanzania imeyapeleka katika Mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliofanyika New…

Yah: Barua ya wazi kutoka kuzimu (1)

Kama wiki moja hivi imepita tangu nipitiwe na usingizi mzito kama ule wa kutolewa ubavu mmoja ili kumuumba mwanadamu mwenzangu uliponikumba katika mazingira ya ajabu, ningeweza kujiita majina ya ajabu ambayo wengine wamejibatiza huku wakijua hawakupata nafasi ya kuota kama…

Mafanikio katika akili yangu (4)

Katika toleo lililopita sehemu ya tatu tuliishia aya isemayo:  “Leo sijaonana naye hata kidogo,” alisema rafiki yake Noel akiwa anasogea na kuegemea mtini. “Shule ni ngumu sana?’’ alihoji Mama Noel. Sasa endelea… Japo kuwa kwao Noel kulikuwa ni mjini lakini…

Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (3)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anasimulia jinsi alivyokutana na Ruge Mutahaba Tanzania House of Talents (THT) alipokwenda kufanyiwa majaribio ya kufuzu kuingia katika jumba la kukuza vipaji. Barnaba ni mmoja wa wasanii wachache wanaopenda kuongea huku wakicheka hasa pale…

Wachezaji Stars lazima mjiongeze

Kinachoendelea katika Jiji la New York au Moscow ndani ya dakika hii, kinaweza kujulikana duniani kote ndani ya saa moja. Teknolojia imerahisisha sana maisha na katika sehemu nyingine za ulimwengu huu, watu wengi wanajikuta wakikosa ajira kwa sababu kazi zao…