JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli wakati akipokea taarifa ya ombi la kuachiwa wahujumu uchumi na watakatishaji fedha Ikulu, Dar es Salaam Septemba 30, 2019

Ndugu zangu, DPP, mimi ninafikiri sikutakiwa kusema chochote kwa sababu umekuja kutoa taarifa ya ushauri wangu nilioutoa siku za nyuma kidogo na sikutegemea kama watu wengi watakuwa wamejitokeza. Watu 467… watuhumiwa 467 wa kesi za uhujumu uchumi ndio wameandika barua…

Historia fupi ya Rozari Takatifu

“Rozari ni sala nzuri sana na yenye utajiri wa neema, ni sala inayogusa kwa karibu Moyo Safi wa Mama wa Mungu… na ikiwa unataka amani itawale katika nyumba zenu, salini Rozari katika familia.” (Baba Mtakatifu Pius X) Utangulizi Kila mwezi…

Bandari ya Tanga chachu ya uchumi Kaskazini, nchi jirani

Katika mfululizo wa makala za Bandari, leo tunakuletea Bandari ya Tanga ambayo ni miongoni mwa bandari kubwa nchini zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari hii inayopatikana Kaskazini mwa Tanzania katika pwani ya Bahari ya Hindi…

Ndugu Rais umetufundisha somo la kusamehe

Ndugu Rais, imeandikwa; samehe hata saba mara sabini. Umetufundisha wanao kusamehe. Baba mwema huonyesha mfano kwa wanaye kwa kutenda yaliyo mema. Wanao yatulazimu kuiga mfano mwema uliotuonyesha. Hivyo, katika maisha yetu ya kila siku tujifunze kusameheana pale tunapokoseana wenyewe kwa…

Uislamu ni dini ya kijamii

Awali ya yote, mimi na wewe msomaji wa makala hii tumshukuru Mwenyeezi Mungu kwa neema zisizo na idadi alizotutupa na anazoendelea kutupa kwa hisani yake na ambazo tukijaribu kuzihesabu hatuwezi kamwe kudhibiti idadi yake. Neema za Mola wetu Mlezi kwetu…

Ukianguka mara 99 inuka mara 100 (1)

Habari njema kwa wanafamilia wa ukurasa wa TUZUNGUMZE. Mwaka huu nimetoa chapisho langu la kitabu kipya. Kitabu hiki kinaitwa SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA. Ni kitabu kilichojaa hekima, busara, ushauri na matumaini ya maisha yetu. Mpaka sasa mlango wa kupata nakala yako uko…