JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tushirikiane kupigana vita ya uchumi nchini

Rais John Magufuli amekuwa akisisitiza mara kwa mara kuwa Tanzania na Watanzania si maskini. Na kwa sababu hiyo anawataka wananchi wasijione kuwa ni maskini, badala yake wajione kuwa ni matajiri kwa sababu wamejaliwa rasilimali zote. Tunaungana na Rais Magufuli tukiamini…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(38)‌

Maisha‌ ‌yanabadilika,‌ ‌watu‌ ‌wanabadilika‌   Siku‌ ‌si‌ ‌nyingi‌ ‌zilizopita‌ ‌nilikutana‌ ‌na‌ ‌rafiki‌ ‌zangu‌ ‌‌niliosoma‌ ‌nao‌ ‌kuanzia‌ ‌darasa‌ ‌la‌ ‌sita‌ hadi kidato cha‌ ‌nne.‌ ‌Ilikuwa‌ ‌siku‌ ‌ya‌ ‌furaha‌ ‌sana‌ ‌kwani‌ ‌kuna‌ ‌watu‌ ‌sikuwahi‌ ‌kuonana‌ ‌nao‌ ‌tangu‌ ‌tukiwa‌ ‌shule. Kila‌ ‌mtu‌ alionyesha‌…

MIAKA 60 NGORONGORO

Kicheko cha maji Kitongoji cha Oldonyoogol   Maji ni miongoni mwa kero kubwa zinazowakabili maelfu ya wananchi wilayani Ngorongoro. Kwa kutambua kuwa wananchi wa eneo hili ni wafugaji, mahitaji ya maji ni ya kiwango cha juu mno. Jiografia ya Ngorongoro…

Wanafunzi kuchapwa ni moshi, moto bado unafukuta

Mimi sina shaka kuwa mtoto wangu angekuwa miongoni mwa wanafunzi watakaothibitika kuchoma moto shule, nyumbani angepaona pachungu. Sina hakika kama sheria inamhukumu mzazi kwa kumcharaza mtoto wake viboko, lakini ningemcharaza kwanza viboko halafu ndiyo nijielimishe juu ya sheria iliyopo. Tumetumbukia…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (31)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 30, kwa kuhoji hivi: “Je, unafahamu kiwango cha ushuru wa forodha na taratibu za kulipa ushuru huo unaponunua gari kutoka nje ya nchi? Tafadhali usikose sehemu ya 31 ya makala hii inayolenga…

Unavyoweza kukubali kosa polisi na kulikataa mahakamani

Unaweza kukubali kosa polisi au popote kama serikali za mitaa, sungusungu na baadaye kulikataa kosa hilo mahakamani. Kitu hiki si jambo la kushangaza na tayari sheria imeweka mazingira ya jambo kama hili. Makala hii hailengi kuwaelekeza wahalifu mbinu, bali kueleza sheria…