JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tusimuenzi Nyerere kwa kuchagua

Kwa mara nyingine wiki hii nchi imesisimka na hoja kubwa ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni wiki ambayo taifa, Bara la Afrika na dunia wanakumbuka maisha ya kiongozi huyu wa kupigiwa mfano. Kumbukumbu hizi zinajikita…

Yanga itazidi kudumaa

Unatazama taarifa za habari za michezo za Ulaya, unasoma juu ya uwekezaji mkubwa unaofanywa na matajiri wa Urusi na Uarabuni. Siku moja ya uhai wako inapita ukiwa na afya njema, kesho asubuhi unatazama tena runinga na kukutana na habari ya…

Singasinga ‘anyooka’

Sethi na Rugemarila wanakabiliwa na mashitaka 12 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi nyaraka, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola za Marekani  22, 198,544.60 na…

Dk. Salim Ahmed Salim ninayemjua!

Vijana wengi wa leo hapa nchini kwetu hawajui juu ya mambo aliyoyafanya Mwanadiplomasia huyu mahiri Dk. Salim Ahmed Salim. Dhumuni la makala hii si kuandika wasifu wa Dk. Salim, bali kuwajuza vijana nini alichofanya akiwa na umri mdogo sana. Haijawahi…

Ardhi Temeke kikwazo

Zaidi ya kesi 100 za migogoro ya ardhi zimekwama kutolewa hukumu katika Baraza la Ardhi Wilaya ya Temeke kwa sababu ya kukosa printer na vifaa vingine muhimu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, mmoja wa walalamikaji hao, Aidan Amon, ambaye ni miongoni mwa…

‘Ukipita mwendokasi jela’

Wewe ni dereva? Umewahi kuendesha gari lako binafsi au pikipiki kwenye barabara ya mwendokasi? Sasa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limeanza kufanya operesheni ya kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wote wanaokiuka taratibu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Kamanda wa…