JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TALGWU yapambana na malimbikizo ya mishahara

Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Mkoa wa Dar es Salaam, Ibrahim Zambi, ameiomba Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwabadilishia mishahara wanachama wake waliopandishwa madaraja katika mkoa huo. Zambi amedai tangu…

Mwendokasi mwarobaini chupa za plastiki

Shirika la Misaada la Uingereza (UKAID) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wamezindua kampeni ya matangazo ya mwezi mmoja kuhamasisha jamii mbinu za kukabili mafuriko. Kampeni hiyo itakayohusisha mradi wa mabasi yaendayo haraka (UDART), imezinduliwa katika kituo cha mabasi yaendayo…

Wa-Bahá’í washerehekea miaka 200 ya kuzaliwa Bab

Wa-Bahá’í ulimwenguni kote wanasherehekea miaka 200 ya kuzaliwa kwa Bab – Mtume Mtangulizi wa dini ya Bahá’í. Taarifa ya Baraza la Kiroho la Mahali la Bahá’í imesema sherehe za kilele zitakuwa Oktoba 29, mwaka huu. ‘Bab’, wadhifa ambao maana yake…

Tujitathmini aliyotuachia Nyerere

Wiki hii Tanzania inamkumbuka mwasisi wake, Mwalimu Julius Nyerere. Tukio hili ni la kila mwaka lakini mwaka huu linafanyika ikiwa imepita miaka 20 tangu kufariki dunia kwa kiongozi huyo ambaye ndiye aliyeweka misingi ya jinsi ya kutawala na kuongoza nchi…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(39)‌

Mteja ni mfalme Wiki ya pili ya Oktoba huwa tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Yawezekana huwa unapokea ujumbe wa kukutakia heri katika wiki hiyo kutoka kwa kampuni mojawapo kubwa ambayo huwa unatumia huduma zake. Nilipokea ujumbe kutoka Vodacom uliosomeka,…

Sekondari ya Nainokanoka: Matunda ya NCAA

Jamii ya wafugaji wa Kimasai ni miongoni mwa jamii zilizo nyuma katika mambo mengi ya kimaendeleo, hasa elimu. Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kulitambua hilo, imeamua kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye elimu. Kutokana na jiografia ya…