JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mafanikio katika akili yangu (6)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Unasemaje?’’ aliuliza Mama Noel kisha yule mlevi ambaye alikuwa mteja wake, akamjibu: “Niachie ya elfu mbili.’’ Mama Noel alimkubalia kwa kuwa siku zote mteja ni mfalme. “Haya mimi ninakwenda,’’ alisema mteja huyo huku…

Ufanye nini mali ya wakfu inapotumika vibaya ?

 Wakfu ni nini? Sheria ya Mirathi na Usimamizi wa Mali, Sura ya 352 ndiyo sheria inayoeleza masuala yote ya msingi kuhusu habari nzima ya wakfu. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Kifungu cha 140, wakfu  ni  kutoa mali  kulingana na sheria za Kiislamu …

SIR NATURE

Aliokota chuma chakavu kusaka ada “Baada ya dhiki faraja,” ni msemo ambao unaakisi maisha halisi ya msanii maarufu nchini kwa jina la kisanii ‘Sir Nature’. Msemo huu una maana sana kwa Sir Nature kutokana na madhila, majanga na misukosuko lukuki…

Adui mkubwa wa Simba huyu hapa

Karibu kila mwanachama wa Simba ambaye anaonekana kwenye runinga akizungumzia  mustakabali wa timu hiyo, anakosa hoja nzito yenye mashiko.  Kila anayemkaribia mwandishi wa habari wa kituo cha runinga anaizungumzia Simba kwa uchungu kwa sababu tu timu haijafikia lengo lililokusudiwa. Hajasikika…

Polisi wamtapeli kachero mstaafu

Maofisa wa Jeshi la Polisi nchini wasio waaminifu wamekula njama na kumwingiza matatani kachero mstaafu, Thomas Njama, ambaye kwa michezo yao ameshindwa kulipwa mafao yake Sh 47,162,559 tangu mwaka 2015, JAMHURI linathibitisha. Njama anapigwa danadana kama ‘kibaka’ wakati amelitumikia Jeshi…

ANNA WATIKU NYERERE

Binti mkubwa wa Mwalimu Nyerere asiye na makuu   Nimepanda daladala eneo la Posta, Dar es Salaam nikienda Kawe. Muda ni jioni, na kwa sababu hiyo abiria tumebanana kweli kweli. Tunapofika katika kituo cha Palm Beach, kondakta anamtaka dereva asimamishe…