JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

ATCL isirudie makosa, itakufa

Mwishoni mwa wiki iliyopita serikali ilipokea ndege mpya kubwa aina ya Boeing Dreamliner 787-800 ambayo imenunuliwa na serikali na kukodishwa kwa ATCL, ikiwa ni ndege ya nane kununuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano tangu iingie madarakani. Ujio wa ndege…

Ana kwa ana na Rais Nyerere (3)

Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa gazeti, David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika Gazeti la Kiingereza, New Internationalist, toleo la Mei, 1973.  David Martin ni…

Dar tunahitaji mapafu ya uhakika tupumue vizuri

Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu, Muumba wa Mbingu na Dunia na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Kipekee alituumba sisi wanadamu tumiliki na kuvitawala vyote: majini, nchi kavu na angani. Ndiyo maana baadhi ya mataifa yenye nguvu kiuchumi yanathubutu kwenda kuchunguza…

Dini ya Uislamu ni tabia njema

Umepata kujiuliza vipi utamtambua Muislamu anayeutekeleza Uislamu? Unamtambua Muislamu kwa kuvaa kanzu na kofia? Yumkini, lakini kuvaa kanzu na kofia si sifa bainifu ya kumtambua Muislamu kwa kuwa kanzu na kofia ni vazi tu lenye asili ya jamii mbalimbali kwa…

Benki kubwa sasa nazo zajipanga kimkakati

Benki kubwa mbili nchini zimetenga mabilioni ya shilingi kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano na zimesema zimejipanga vizuri kuchangia kikamilifu ujenzi wa uchumi wa viwanda. Moja ya benki hizo,…

Uchumi wa nchi uko imara – Majaliwa

Tanzania imeelezwa kuwa na uchumi imara unaoendelea kukua vizuri chini ya Serikali ya Awamu ya Tano, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametanabaisha. Kwa mujibu wa waziri mkuu, uimara huo ni kati ya sababu lukuki zinazoifanya Tanzania kuwa chaguo la wawekezaji na…