JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jiulize maswali kila asubuhi

Unapoamka asubuhi kutoka kitandani unajiuliza swali gani?  Unapomsikia jogoo akiwika alfajiri unajiuliza nini? Je, kila asubuhi unajiuliza kuhusu hatima ya maisha yako?   Kila asubuhi imebeba  ujumbe wa maisha yako.  Kila asubuhi Mungu anakuambia: “Nimekuamsha  salama mwanangu mpendwa. Ninakupenda  sana. …

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (6)

Fursa hazipotezi muda zikikutana na wale ambao hawajajiandaa, zinapita.  Fursa ikikutana na maandalizi kwa pamoja vinazaa bahati. “Nitajiandaa na siku moja fursa yangu itakuja,” alisema Abraham Lincoln. Kutojiandaa ni kuharibu furaha ya kesho, kutojiandaa ni kujiandaa kuyapa mgongo mafanikio.  “Kwa…

Wachezaji Stars mjiongeze

Leo Taifa Stars itakuwa Stade Mustapha Ben Jannet uliopo mjini Monastir, Tunisia, kuivaa Libya katika mchezo wa kufuzu kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. Huu ni mchezo wa pili, katika mchezo wa awali dhidi ya Equatorial Guinea…

Wanaswa uhujumu uchumi

Kikosi Kazi maalumu kilichoundwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kimebaini ukwepaji kodi unaokisiwa kufikia Sh bilioni 10 katika kampuni sita za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazojihusisha na sekta ya utalii nchini, JAMHURI linathibitisha. Kwa tuhuma hizo, wakurugenzi wa kampuni hiyo wanakabiliwa…

Dk. Kigwangalla atauweza ‘mfupa’ uliomshinda Prof. Maghembe?

Safari ya kuupanda Mlima Kilimanjaro ambao ndio mlima mrefu kuliko yote barani Afrika haihitaji mbwembwe bali ni utimamu wa mwili, afya njema na kufuata maelekezo ya waongozaji wageni. Hiyo ndiyo siri ya mafanikio kwa wale wanaofanikiwa kukifikia kilele cha Uhuru…

Agizo la Magufuli laacha kilio

Agizo la Rais John Magufuli kwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kuhamisha ofisi zao kutoka kwenye majengo binafsi kwenda majengo ya serikali limewaacha baadhi ya wamiliki wa majengo katika maumivu baada ya taasisi hizo kuhama. Wakala wa Barabara…