JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Matumizi simu miezi 6 yazidi Sh trilioni 2.5

Matumizi ya simu, hasa za mikononi kwa ajili ya mawasiliano yamezidi kuimarika huku kampuni zinazotoa huduma hiyo nchini zikitengeneza fedha nyingi na kuifanya biashara hiyo kuwa miongoni mwa zile zenye faida kubwa nchini. Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha…

Tanzania kinara wa kupambana na umaskini duniani

Tanzania inaongoza miongoni mwa nchi 15 duniani ambazo zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kupunguza idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini wa kupindukia. Hayo yamebainishwa na Benki ya Dunia ambayo inasema kuwa Tanzania imeibuka kidedea baada ya kuwa na matokeo mazuri kati…

Kitabu cha mzee Mkapa kiwe dira kwetu sote

Rais mstaafu Benjamin William Mkapa (81), ameandika kitabu kinachoelezea maisha yake ya utotoni hadi urais. Uzinduzi wa kitabu hicho chenye kurasa zaidi ya 300 umefanywa na Rais John Magufuli na kuhudhuriwa na viongozi, viongozi wastaafu na watu mashuhuri. Kitabu hicho…

KIJANA WA MAARIFA (3)

Maisha hayahitaji watu wepesi wepesi Nimeamka asubuhi na mapema huku nikifurahia tukio moja zuri sana, ni pale jua linapoliambia giza, “Inatosha sasa, huu ni wakati wangu wa kutawala.” Napaki mizigo yangu na kutoka nje. Naanza kwenda katika kituo cha magari, ni…

Kiongozi ni muhimu, lakini umma ni zaidi

Leo naandika juu ya uanaharakati kama nyenzo inayotumika na watu au makundi ya watu kuendesha kampeni za kuleta mabadiliko ndani yajamii. Tumezoea kuhusisha uanaharakati na siasa pekee, lakini ni mada pana inayovuka uwanda wa siasa. Najikita juu ya jinsi gani…

Je, umemdhamini mtu kuchukua mkopo na mali yako inataka kuuzwa?

Ni kawaida mali za wadhamini kutaka kuuzwa au kuuzwa pale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma, kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo….