Latest Posts
Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki wafikia asilimia 47.1
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa hadi sasa utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (Hoima, Uganda-Tanga, Tanzania) umefikia asilimia 47.1 na unatarajia kukamilika…
Alichosema Waziri Mavunde kuelekea mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania 2024
Na Wizara ya Madini Ukiuza Madini Nje ya Soko wewe ni mtoroshajiTulikuwa na changamoto ya biashara ya Madini kabla ya mwaka 2017 ambapo ilifanyika kiholela kutokana na kukosekana kwa masoko ya madini. Hivi sasa biashara yote inafanyika sokoni, ukiuzia nje…
JUMIKITA wanolewa na Tamisemi kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jumuiya ya la Waandishi wa Mtandaoni Tanzania (JUMIKITA) wameshauriwa kuzingatia weledi ,maadili, katika kuandika habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ili kusaidia kutoa taarifa za uhakika na zenye ukweli kwa…
Wahandisi toeni ushauri wa kitaalamu kwa wananchi wanapofungua barabara kwa nguvu zao – Mhandisi Seff
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewataka Wahandisi wa TARURA nchini kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wananchi na wadau wa maendeleo pindi wanapofungua au kutengeneza barabara kwa…
Rais Samia apeleka neema ya umeme wa REA Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha sh bil 19 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa usambazaji nishati ya umeme vijijini (REA) katika vitongoji 180 vya Mkoa…
Kuelekea mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania 2024
DONDOO ALIYOYASEMA NAIBU WAZIRI WA MADINI, DKT. STEVEN KIRUSWA Royal Tour imeleta wawekezajiRoyal tour imeongeza mwamko wa wawekezaji kuja kuwekeza kwenye Sekta ya Madini Tanzania. Madini tunayo na wawekezaji wameendelea kuja. Kuna ongezeko la wazalishaji, Wadogo, wa Kati na Wakubwa….