JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mkuki humuua mhunzi

Istilahi za taaluma yoyote zisipotumika kwa uangalifu na maarifa zinaweza kupoteza sifa na heshima ya taaluma.  Yaani, wanataaluma wenyewe kudharauliana na kugombana. Na watu wengine katika jamii yao huwabeza, huwacheka na kuwaona hawafai. Hapa nchini kwetu zipo taaluma mbalimbali. Mathalani…

Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (1)

Kuna kitu kimenisukuma kuwaza hili hasa baada ya kuona kuna ombwe kubwa sana kati yangu na maisha mapya yaliyopo.  Nitaandika kwa sababu pia nimeona kuna umuhimu wa kukumbuka yote niliyoyaishi katika nyakati tofauti za utoto, ujana, makamo na sasa uzee…

TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata  dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa…

UISLAMU NA WAJIBU WA KUFANYA KAZI

Mtume  Muhammad (Allaah Amrehemu na Ampe Amani) amesema: “Ni bora kwa mtu kuchukua kamba akaenda mlimani na kuleta mzigo wa kuni mgongoni mwake na kuziuza ili Allaah ailinde heshima yake kuliko yeye kuomba kutoka kwa watu bila kujali kama watampatia…

Jiulize maswali kila asubuhi (2)

Je, unamfahamu mnyama duma (Cheetah)? Wengi  wanajua tu kwamba ni kati ya wanyama  wenye kasi sana.  Duma anakimbia zaidi ya maili 60 kwa saa, lakini wengi wasichokijua kuhusu mnyama huyu ni uwezo wake mkubwa wa kubadili uelekeo  kinyume na alikokuwa…

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (7)

Bajeti inakusaidia usijiibie “Ukinunua usilolihitaji, unajiibia,” ni methali ya Sweden. Bajeti inakusaidia kuandika mahitaji ya kweli chini baada ya tafakuri ya kina. Ukinunua kitu kwa vile jirani yako amekinunua unajiibia. Ukinunua kitu ili kumwonyesha mwenzi aliyekuacha kuwa maisha yamekunyokea na…