JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kachero mstaafu bado apigwa danadana mafao yake

Kachero mstaafu wa Jeshi la Polisi, Thomas Njama, ambaye anadai mafao yake yaliyoyeyuka katika hali ya kushangaza, amerudishwa tena Jeshi la Polisi ambako ameambiwa ndiko anakoweza kupata ufumbuzi wa suala lake. Hatua hiyo imekuja baada ya Njama kukutana na maofisa…

Halmashauri ya Mkuranga kupandishwa kizimbani

Zaidi ya wakazi 1,100 kutoka wilayani Mkuranga mkoani Pwani wameruhusiwa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuishitaki Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga iliyogawa ekari 750 za ardhi yao kwa mwekezaji. Wakiwakilishwa na wenzao saba, wananchi hao 1,119 walikwenda mahakamani kudai…

Benki zisaidie wananchi kujikwamua kiuchumi – Wadau

Pamoja na kutoa mchango mkubwa katika ujenzi wa uchumi imara, benki zinazofanya biashara hapa nchini zimetakiwa pia kuchangia zaidi kwenye maendeleo binafsi ya Watanzania kupitia huduma bora na kuwekeza vyakutosha katika shughuli za kijamii. Kwa mujibu wa wadau mbalimbali, benki…

KIJANA WA MAARIFA (4)

Kujifunza huanza pale woga unapokufa Woga ni adui wa vingi. Woga umefanya watu wengi wafe na wazikwe wakiwa na vitu vya thamani ambavyo dunia ilihitaji kufaidika navyo lakini kilichofaidika ni udongo. Woga umezaa umaskini, woga umefanya watu wakose haki zao….

Ndugai tafuta busara katika upuuzi wa wanaopinga

Wiki iliyopita Spika wa Bunge, Job Ndugai, alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akieleza dhamira yake ya kuliongoza Bunge kutunga kanuni mpya ambazo anaamini zitaleta ulingano kati ya wabunge wa kambi mbalimbali. Spika Ndugai amesema kanuni hizo zitaachana na…

Rais mstaafu, Mtanzania hawezi kuwa mkweli

Nina shauku kubwa ya kusoma kitabu cha Rais mstaafu Benjamin William Mkapa kuhusu maisha yake kinachoitwa ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu). Nina shauku kufahamu mtazamo wake juu ya masuala mbalimbali ya uongozi lakini nikiwa na hofu kuwa yapo mengi…