JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Msafara wa Magufuli una mambo mengi

Usidhani kuwa Rais John Magufuli anapopanga kutembelea eneo fulani katika ziara zake wanaohusika katika misafara yake ni viongozi wa serikali pekee.  Wakati maofisa wakiandaa safari hizo, wapo watu wengine kwa mamia ambao nao hujiandaa kwenda katika ziara hizo kwa malengo…

KIJANA WA MAARIFA (5)

Ukijificha fursa nazo zinajificha Kuna watu wanajua mambo mengi lakini hawataki kutoka nje na kuonyesha yale waliyojaliwa. Kuna watu wana ujuzi mkubwa lakini hawataki kuonyesha ujuzi wao. Kuna watu wana mawazo mazuri ya biashara lakini hawataki kuanza kuyafanyia kazi. Kila…

Viongozi acheni kumtegea Rais Magufuli

Kuna kundi kubwa la wananchi ambao wamekuwa wakizunguka katika ziara anazofanya Rais Dk. John Magufuli kwa lengo la kufikisha kero zao kwake.  Watu hao wamefikia hatua hiyo baada ya viongozi na watumishi katika ngazi nyingine kushindwa kuwasaidia kutatua matatizo yao….

Uamuzi wa Busara

Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi hii ingekuwaje leo….

Roundup wana kesi Marekani, hapa tunauziwa bidhaa zao

Nimeshtushwa hivi karibuni kusikia dawa ya kuua magugu inayoitwa Roundup ikitangazwa kuuzwa madukani na kituo kimojawapo cha redio nchini. Mwaka 2015 Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitamka kuwa glyphosate, ambayo inatumika kutengeneza Roundup, inaweza kusababisha saratani. Nilishangaa zaidi, baada ya kufanya uchunguzi mfupi, kugundua kuwa…

Kuzuia mali za ndoa kuuzwa wakati kesi ikiendelea

Unakuta umefungua shauri la ndoa, inaweza kuwa maombi ya talaka, mgawanyo wa mali, malezi ya watoto au vyote. Wakati huo ambapo kesi haijaanza, au imeanza lakini haijaisha, unahisi au umeona mali za ndoa ambazo pengine zinatakiwa kugawanywa zikiwa katika hatari…