JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais wangu utatukuzwa kwa mema yako (2)

Baba Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, mjukuu wako, yaani binti yangu amejiunga Chuo Kikuu Mlimani kwa mwaka wa kwanza akichukua Sayansi na Teknolojia. Amesoma  kidato cha tano na cha sita Ifakara High School – shule ya Serikali. Amenyimwa mkopo eti zamani…

Viongozi wa dini tuzingatie mamlaka ya kimaadili

Mamlaka ya kimaadili ni ile hali ya mtu kuwa na tabia njema zinazoifanya jamii kumheshimu, kumuamini na kumthamini na kuwa chanzo cha mwongozo au mfano wa mwenendo sahihi kwa jamii.  Huyu ni mtu ambaye anamiliki sifa ya kuwa na maarifa…

Unafahamu nini kuhusu uwakala?

Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni moja ya biashara kubwa nchini. Wapo mawakala katika mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Voda n.k.  Mawakala wa kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na makampuni…

ISHI NDOTO YAKO (2)

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii tuliona kuwa mtu unapaswa kuishi kwa kufuata ndoto yako. Ndoto  yako isiongozwe  na maneno  ya watu.  Acha  wakuseme  wawezavyo  lakini  wewe  pambana  kutimiza  ndoto  yako.  Acha  leo  wakuone  kichaa  ili  kesho  wakushangae. Endelea……

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (9)

Anzia wengine wanapoishia Mwisho unaweza kuwa mwanzo wa kitu kipya. “Kila mwanzo mpya unatoka kwenye mwisho wa mwanzo mwingine,” alisema mwanafalsafa wa Kigiriki, Seneca.  Mababu zetu na nyanya zetu walitunza hadithi na methali kwenye vichwa vyao, sisi tumeanzia walipoishia, tunatunza…

Tujipendekeze kwa kiasi

Awali ya yote niwaombe radhi wapendwa wasomaji kwa kuwatupa mkono kwa kipindi kirefu sasa. Kwa siku za karibuni nimekuwa na dhima nyingi, kiasi cha kujikuta nikishindwa kutimiza yote niliyokusudia kwa wakati mmoja. Itoshe tu kuwashukuru mno kwa kuendelea kwenu kuwa…