JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tulijikomboa ili tuwe huru, tuondokane na dhuluma

Watanzania wameadhimisha miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika. Hizi ni sherehe kubwa kwa sababu zinaturejesha kwenye kumbukumbu za kazi kubwa iliyotukuka ya ukombozi iliyofanywa na waasisi wa taifa letu. Hatuna budi kuadhimisha siku hii kwa kufanya tathmini ya hali iliyokuwa…

Uamuzi wa Busara (2)

Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha ‘Uamuzi wa Busara’, tulisoma kuhusu uamuzi wa Mwalimu Nyerere kuacha kazi ya ualimu ili apate nafasi ya kuendesha siasa za kuikomboa nchi. Katika maandiko hayo tuliishia sehemu ambayo wajumbe watatu waliotumwa na gavana wa…

Shida kama hizi hazitakwisha Chadema

Ninaitaja Chadema na kuitolea mfano kwa sababu sasa hivi ndicho chama ambacho kinakabiliwa na tatizo ninalotaka kulizungumzia.  Pamoja na Chadema, karibu vyama vingine vyote vimepitia tatizo la watu kujiunga navyo kisha baadaye kuamua kuachana navyo. Hivi sasa nchi inazungumzia hatua…

TIC yafafanua uwekezaji kupungua

Shughuli za uwekezaji duniani zimedorora kwa kiasi kikubwa miaka ya hivi karibuni na hii imetajwa kuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mitaji binafsi kutoka nje (FDI), ambako kumejitokeza nchini tangu mwaka 2015, wataalamu wa sekta hii muhimu katika uchumi wa…

Mabalozi SADC waunda umoja Qatar

Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya…

Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele

Mwezi mzima wa Oktoba tumeadhimisha na kushiriki kwenye makongamano mbalimbali ya kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa.  ‘Vumbi’ la makongamano na maneno mengi kwenye vyombo vya habari, mitandaoni na vijiweni sasa limetulia, lakini limeacha mambo ya…