Latest Posts
Tembo amuua mtalii aliyekuwa akimwogesha Thailand
Tembo amemuua mwanamke mmoja raia wa Uhispania alipokuwa akimwogesha mnyama huyo katika kituo cha tembo nchini Thailand, wamesema polisi wa eneo hilo. Blanca Ojanguren García, 22, alikuwa akiosha tembo katika Kituo cha Kutunzia Tembo cha Koh Yao, siku ya Ijumaa…
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu
Kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa chama chake, Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu na kumaliza kipindi chake cha miaka tisa ya uongozi. Trudeau amesema atakaa madarakani hadi Chama chake cha Liberal kiweze kuchagua kiongozi mpya, na bunge litaahirishwa…
Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAWAKILI wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Tabora wamelaani vikali kitendo cha kuzuiwa kutekeleza majukumu yake mmoja wa wanachama wake alipokuwa akifuatilia masuala ya wateja wake waliokamatwa. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana…
Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam waliohitimu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na shule za vipaji maalum. Mkuu wa shule hiyo,…
Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
Mtalii wa Israel ambaye utambulisho wake haujabainishwa (mwanamke) amefariki na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 5, 2025 na Kaimu Meneja Uhusiano wa NCAA,…