JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sasa tunapaswa kuwa na BAKWATA mpya

Na Angalieni Mpendu Salaam aleikum! Na wasio Waislamu Tanzania nzima. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) leo linatimiza miaka 51 tangu liundwe tarehe 17 Desemba, 1968 jijini Dar es Salaam baada ya kuvunjwa kwa Jumuiya ya Waislamu wa Afrika ya…

Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (4)

Wiki iliyopita niliishia kuwaeleza uzalendo wangu wa kuwa mtunza stoo ya kijiji hasa kipindi kile ambacho tulikuwa katika vita ya kumtoa Nduli kule Uganda. Ni kipindi ambacho nilikuwa nikikusanya vyakula, mifugo na vijana wanaojitolea kwa kuwaandikisha majina. Sikumbuki ni wapi…

MAFANIKIO KATIKA AKILI YANGU (9)

Na Phabian Isaya Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Simuoni siku kadhaa sijui amepotelea wapi? alisema kijana wake aliyekuwa na dharau kwa kijana Noel. Alikuwa hamuamini kwa lolote na alimuona kama bango bovu lililofutika maandishi. Sasa endelea…. “Mmmh! Vijana…

HARMONIZE

Kutoka kuuza kahawa Kariakoo hadi chapuo la kuwa mbunge (2) TABORA, NA MOSHY KIYUNGI   Wiki iliyopita tuliona jinsi mwanamuziki Harmonize alivyoanza kushirikiana na wanamuziki wengine wakubwa kama Fally Ipupa katika kazi zake. Hilo lilianza kumpa umaarufu ambao aliendelea nao….

Sifa za kijinga

Simba, Yanga lazima zibadilike Na Charles Mateso CECAFA Senior Challenge Cup ya mwaka huu imekuja na maneno mazuri sana kutoka kwa wadau wa soka wa Kenya. Wameamua kutuambia ukweli baada ya miaka kadhaa ya Tanzania kuhangaika na wachezaji kutoka Kenya…

Kipilimba katika mgogoro wa ardhi

Balozi Dk. Modestus Kipilimba yumo kwenye mgogoro wa ardhi na baadhi ya wakazi wa Msakuzi, Mbezi Luis, Dar es Salaam wanaodai amewapoka maeneo yao kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo. Miongoni mwa wanaolalamika ni Rudolf Temba, ambaye amesema amedhulumiwa ekari 2.5…