JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Gawio kwa Serikali ni msingi wa ujenzi wa nchi

DAR ES SALAAM NA JOVINA BUJULU, MAELEZO Hivi karibuni Rais John Magufuli aliwakaribisha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za umma katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kutoa mchango wao kifedha kwa serikali. Michango…

Dawati la Jinsia na Watoto Butiama lazua vigelegele, miguno

Na G. Madaraka Nyerere  Mwishoni mwa mwezi uliopita nilihudhuria ufunguzi wa jengo jipya la kituo cha Dawati la Jinsia na Watoto kwa Wilaya ya Butiama. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Wengi walizungumza ingawa…

Daktari bingwa aonya homa ya ini

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Daktari bingwa wa magonjwa ya ini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ewaldo Komba (pichani), amewataka Watanzania kujenga tabia ya kupima kama njia ya kuhakikisha kuwa haiwaathiri katika hatua za mwisho. Dk. Komba amesema ugonjwa…

Mungu anaongea kupitia mazingira (1)

Kila mtu anapaswa kufurahi na kujivunia mazingira anayoishi. Tunapaswa kukuza ndani yetu uwezo wa kushangaa, kufurahia na kumshukuru Mungu kwa kazi nzuri ya uumbaji. Tukazane kumwona Mungu kupitia viumbe vyake kwa kuviona kuwa vinawakilisha sura ya Mungu. Tukiona kujifunua kwa Mungu…

Daraja lawatesa wakazi Mkuranga

MKURANGA NA AZIZA NANGWA Wakazi wa Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga wameiomba serikali kusaidia ujenzi wa daraja linalounganisha eneo lao na vijiji vingine ili waweze kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi na kijamii kwa unafuu. Wamebainisha kuwa mvua zilizonyesha hivi karibuni…

Mtume Muhammad (S.A.W) ni mfano mwema wa kuigwa

Makala yetu leo inaangazia Sura ya 33 (Surat Al-Ahzaab), Aya ya 21 katika Quraan Tukufu ambapo Mwenyezi Mungu Mtukufu anatuambia kuwa: “Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema (mfano mwema) kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anayemtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya…