JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Safari ya Uingereza kuondoka EU yaiva

London, Uingereza Safari ya Uingereza kujiondoa katika Jumuiya ya Ulaya (EU), maarufu kama Brexit imeiva. Hii ni baada ya Chama cha Conservative chini ya Waziri Mkuu Boris Johnson kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 12. Boris sasa ataweza…

Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda

Na Deodatus Balile Nimesoma kitabu alichokiandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Kitabu hiki kimekuwa gumzo. Sitanii, nilisikia Rais John Magufuli akiagiza kitabu hiki kitafsiriwe katika Kiswahili. Kitabu hiki kimenikumbusha vitabu vinne vya kizalendo;…

Ofisa wa Jeshi ajitosa kutetea wapagazi

MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Kilio cha masilahi duni kwa wapagazi katika Mlima Kilimanjaro kimeendelea kusikika kwa makundi mbalimbali yanayopanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika. Safari hii Kanali Machera Machera wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ameungana na…

Matumizi ya intaneti kupitia simu yaongezeka

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mapinduzi makubwa ya kimfumo na uwekezaji wa kutosha kwenye teknolojia mpya kumesaidia kupanua upatikanaji wa huduma za intaneti nchini katika kipindi cha muongo mmoja. Takwimu za kisekta zinaonyesha kuwa miaka kumi iliyopita watumiaji wa…

Ndugu Rais, jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni Kenya

NA PASCHALLY MAYEGA   Ndugu Rais, kabla wewe hujawa baba nilimwandikia aliyekuwa baba yetu wote, maneno ambayo hata binti yetu Martha aliyaimba kuwa, mimi ni mpitaji tu katika hii dunia. Makao yangu yako kwa baba tu. Baba yangu kaniaandalia makao…

Ili kukuza uchumi Tanzania isibadili tu itikadi, ibadili mbinu pia

DAR ES SALAAM NA JOHN KIMBUTE Mwelekeo wa sasa wa sera za nje za Tanzania una tofauti kiasi fulani na tulichozoea awali, na kwa njia hiyo imebidi viongozi serikalini wafanye kazi ya ziada ya kuainisha maeneo ya fikra au itikadi…