JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Shonza: Tumieni ujuzi wenu kutengeneza ajira

DAR ES SALAAM NA REGINA GOYAYI (DSJ) Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, amewataka wahitimu wa kozi za uandishi wa habari nchini kuutumia ujuzi walioupata kwa weledi ili waweze kudumu katika ajira. Akizungumza katika Mahafali ya…

Wajasiriamali wabainisha fursa kwenye taka

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kuna fursa nyingi za kiuchumi na kimazingira ambazo zimejificha katika taka ambazo kimsingi zinaonekana hazina faida yoyote katika jamii. Hayo yamebainika katika maonyesho ya siku mbili ya wajasiriamali wa mazingira nchini. Katika maonyesho hayo…

Mwenyekiti kizimbani kwa rushwa

Na Aziza Nangwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Juma Abed, ametinga mahakamani akikabiliwa na mashitaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa. Mwendesha Mashitaka wa TAKUKURU, Euphrazia Kakiko, amesema wakati akisoma mashitaka dhidi ya mwenyekiti huyo kuwa mtuhumiwa Januari…

Serikali isitishe uamuzi wa kujitoa Mahakama ya Afrika

Hivi karibuni serikali ilitangaza kuwa imeanza mchakato wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu. Serikali ilieleza kuwa imeamua kuchukua hatua hiyo baada ya kuona hoja ambazo ilizitoa wakati inajiunga na mahakama hiyo hazijafanyiwa kazi. Tunadhani…

KIJANA WA MAARIFA (7)

Ukijifunza, fundisha   Kufahamu mambo bila kuifundisha familia yako ni kuiacha familia hiyo iangamie. Kufahamu mambo bila kuifundisha jamii yako ni kuiacha jamii hiyo ipotee. Kufahamu mambo bila kulifundisha taifa lako, ni kuliacha taifa hilo lipotee. Ukijifunza, fundisha. Ukifahamu mambo,…

Uamuzi wa Busara (3)

Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Uamuzi wa Busara, tulisoma kuhusu uamuzi wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa (UNO). Wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU waliandika ujumbe kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa waliotumwa nchini kuja kuchunguza hali…