JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Musoma, Butiama kupata maji kwa asilimia 100

 MUSOMA NA JOVINA MASSANO   Maji ni uhai kwa kila kiumbe kilichopo katika dunia. Kama msemo huo una ukweli ndani yake, basi wakazi katika vijiji kadhaa katika wilaya za Musoma Vijijini na Butiama wanatarajia kuanza kupata uhai huo, kwani wataanza…

Mungu anaongea kupitia mazingira (2)

Tuache lawama.  Tunakuwa wa kwanza kulaumu kwamba mabadiliko ya tabia ya nchi yamebadilika na wakati huo huo tunakuwa wa kwanza kukata miti ovyo pasipo kupanda miti mingine. Tunajenga viwanda ovyo pasipo kuzingatia usafi wa mazingira. Tuwe na sababu za kulaumu pale ambapo mchango wetu umeonekana lakini haukufaulu kushinda kwa lililokusudiwa. Katika…

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (10)

Krismasi ni somo la mpango mkakati Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Usikate kanzu (mbeleko) kabla mtoto hajazaliwa.  Ni msemo ambao unatuweka katika utamaduni wa kutopanga kabisa ya kesho. Matumizi ya kipindi cha Krismasi huacha mifuko ya pesa imesinyaa kwa baadhi…

Tuishi kirafiki na mazingira tuepuke majanga

Na Dk. Felician Kilahama Kuna usemi usemao “hakuna lisilowezekana chini ya jua.” Nimejiuliza mara kadhaa chimbuko la usemi huo ni nini, na bado sijapata jibu la uhakika. Pengine kilichomaanishwa ni kuwa na ari ya kutaka kufanikisha jambo muhimu katika maisha….

Tuliza moyo, tamaa mbaya

Zipo njia nyingi za kutuma ujumbe kutoka upande mmoja kwenda wa pili. Njia hizo ni kama vile barua, shairi, wimbo na nyinginezo. Kila ujumbe una madhumuni na malengo yake. Mathalani kuelimisha, kuhamasisha, kutoa taarifa fulani na kadhalika. Wimbo ni tungo…

Yah : Naanza kuandika historia ya maisha yangu (5)

Nilimalizia waraka wangu wa wiki iliyopita nikielezea jinsi nilivyomuona Mwalimu akiwa amechoka katika mapambano ya kuliongoza taifa. Alichoka kwa kulipitisha taifa katika mambo mengi, lakini hapa kuna sababu kubwa ambayo ningependa Watanzania waijue vizuri. Wakati taifa hili likipata Uhuru, wasomi…