JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wakala wa Vipimo wafanya kazi na sekta binafsi

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Wakala wa Vipimo nchini (WMA) umefanikiwa kusambaza huduma zake kwa watu wengi nchini na kuwa karibu zaidi ya sekta binafsi. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa WMA,…

Halotel kutumia bilioni 3.8/- usajili wa laini

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imesema changamoto kubwa kwake kibiashara mwaka huu imekuwa zoezi la kusajili laini kwa njia ya alama za vidole ambalo mpaka sasa hivi limeigharimu kampuni hiyo zaidi ya…

Biashara nje ya nchi yaanza kuirmarika

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Biashara kati ya Tanzania na nchi nyingine duniani imeanza kuimarika baada ya miaka mitatu ya mdororo kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa uagizaji wa bidhaa na huduma mbalimbali kutoka nje, JAMHURI limebaini. Kuimarika…

Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele (2)

DAR ES SALAAM NA ANNA JULIA MWANSASU   Ninawashukuru wote walionipigia simu, walionitumia ujumbe mfupi na wengine kuongea nami ana kwa ana kuhusu makala yangu katika toleo lililopita la gazeti hili. Awali ya yote, ninapenda kusema kwamba mimi si mwanasiasa,…

Ndugu Rais tusimfukuze jogoo

Ndugu Rais, nilipoandika kuwa, ziko sikukuu nyingi ambazo unaweza ukaamuru zifanyike sehemu mbalimbali za nchi kama kutia hamasa, lakini si siku ya uhuru wa nchi, Watanzania wengi, hasa wazee kutoka kila kona ya nchi yetu walionyesha kuguswa sana. Wazee walioshuhudia…

Uislamu na utunzaji wa mazingira

Utunzaji wa mazingira ni kadhia inayozungumzwa sana ulimwenguni katika ngazi zote kutokana na umuhimu wake na maisha ya mwanadamu. Je, umepata kujiuliza mazingira ni nini? Kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira nchini Tanzania ya mwaka 2004, mazingira yanahusisha maumbile…