JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwendokasi wakiri kuzidiwa

DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Kampuni inayoendesha mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam, UDART, imekiri kuzidiwa wingi wa abiria kutokana na uchache wa mabasi inayoyamiliki. Kampuni hiyo imekiri kuwa msongamano wa abiria katika mabasi na abiria…

Serikali yataka sekta ya umma kushindanishwa tuzo za mwajiri bora

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Serikali imetoa mapendekezo ya kushirikishwa kwa taasisi za umma katika mashindano ya kumtafuta mwajiri bora wa mwaka kuanzia mwakani. Tangu mwaka 2015 Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), kimekuwa kikitoa tuzo kwa mwajiri bora kila…

Hili la ukomo wa urais lisitumike kututoa kwenye reli

  Kwa muda sasa mijadala ya siasa nchini imetawaliwa na suala la ukomo wa mihula ya urais. Katiba inatamka wazi kuwa mtu atashika urais kwa kipindi cha muhula wa miaka mitano na anaweza kuchaguliwa tena kwa kipindi cha pili cha…

KIJANA WA MAARIFA (8)

Shukrani ni jukumu la kufanyika haraka   “Hakuna jukumu linalohitajika kufanyika haraka kama kurudisha shukrani,” alisema James Allen. Kushukuru ni kuomba tena. Shukrani ni kurudisha fadhila ya kuona umefanyiwa kitu cha thamani na mtu ambaye anaweza kuwa rafiki yako, ndugu,…

Uamuzi wa Busara (4)

Katika toleo lililopita, sehemu ya tatu tuliishia katika aya isemayo: “Hatupendi wafukuzwe au wafanyiwe ubaguzi wa namna yoyote, lakini Wahindi na Wazungu tuliowakubali ni wale ambao wamekwisha kukubali kukaa Tanganyika daima. Mhindi ambaye bado yuko India au Pakistan si Mtanganyika….

Serikali yanadi maeneo yenye madini

DODOMA NA GREYSON MWASE Tume ya Madini imetangaza zabuni kwa watu wanaotaka kununua maeneo 10 yenye leseni hodhi za madini yenye ukubwa wa kilometa za mraba 381.89 katika maeneo ya Ngara — Kagera, Kahama – Shinyanga, Chunya – Mbeya, Bariadi…