JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Karibu Mwaka Mpya na yawe mambo mapya

Nakumbuka sana kuhusu andiko langu la kitabu ambalo liko toleo la mbali kidogo, lakini nitakuwa sina fadhila iwapo siku hizi za mwisho wa mwaka na sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo nitajitoa fahamu ya kusahau umuhimu wa kumaliza mwaka na…

Mafanikio katika akili yangu (11)

Katika toleo lililopita sehemu ya kumi tuliishia katika aya isemayo: “Mimi niko tayari,’’ alisema Noel kisha wakasalimiana na profesa. Maisha ya Moscow Noel alianza kuona kuwa ni mazuri, ambayo yangeweza kumfaa katika uandishi wake. Sasa endelea…  Meninda akiwa njiani akiendesha…

Liverpool wapewe kombe EPL?

Historia ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) inaonyesha kuwa kwa kawaida timu ambayo inakuwa imeshika nafasi ya juu inapofika katikati ya msimu, aghalabu huwa kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya, hiyo ndiyo huwa bingwa mwisho wa msimu. Unaposoma hapa, Liverpool, ambayo…

Tuanze kuuza wachezaji nje

Mwaka 2016 wakati tunakwenda kuivaa Nigeria, wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje karibu wote waliitwa kuja kulikabili jeshi hilo linalotamba katika soka Afrika. Ila kilichotokea ilikuwa aibu. Wengine walikuwa hawajulikani, hata TFF hawawajui. Tukaanza kuulizana kama huyu kweli ni wa kwetu…

Miaka minne ya machozi, jasho na damu Chadema

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokamilika wiki iliyopita umekipatia chama hicho safu ya uongozi katika ngazi zote huku Mwenyekiti wake wa taifa, Freeman Mbowe, akiapa kuendeleza mapambano ya kisiasa…

Uchumi wa gesi bado gizani

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Safari itakayowafikisha Watanzania kuanza kupata faida kubwa zitokanazo na uchumi wa gesi bado inazidi kuwa ndefu kutokana na vikwazo kadhaa vinavyoibuka kila wakati. Wakati wa kilele cha vuguvugu la mgogoro wa ujenzi wa bomba…