JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uchumi wa gesi bado gizani (2)

Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) limesema litajitosa kufanya utafiti wa gesi baharini kuanzia mwakani kama njia ya kuifufua sekta hiyo ambayo shughuli zake zimesimama kwa sasa. Akizungumza na JAMHURI ofisini kwake hivi karibuni, Mkurugenzi wa Utafiti wa TPDC,…

Wakulima korosho Mkuranga bado waidai Serikali

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, ameiomba Wizara ya Kilimo kuhakikisha inawalipa deni la Sh bilioni 5 wakulima wa korosho mkoani Pwani ambao hawajalipwa baada ya kuuza korosho zao msimu uliopita. Ulega amesema hayo wakati wa mkutano wa…

Polisi haijachukua hatua kifo cha kemikali

Polisi wilayani Kisarawe, mkoani Pwani hawajachukua hatua yoyote kuhusiana na kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa baada ya kunywa pombe iliyotokana na kemikali. Siku kadhaa zilizopita JAMHURI liliripoti tukio la Mwalimu Ladislaus Mkama, mtaalamu wa kemia katika Shule ya…

TASAC yawakumbuka walemavu Nduguni

Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) wametoa vifaa vyenye jumla ya Sh milioni 10 kwa kikundi cha watu wenye ulemavu cha Tanzanite Disabled Group Art cha Kata ya Nduguni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Mkurugenzi wa…

Kisarawe wanufaika na kampeni ya afya

Jopo la madaktari kutoka mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Dk. Stanford Mwakatage, wamefanya kampeni maalumu ya kutoa matibabu na upasuaji kwa gharama nafuu kwa wananchi wa wilaya hiyo. Dk. Mwakatage…

Uchaguzi Mkuu usituvuruge

Leo tunaumaliza mwaka 2019 na kesho tutaingia mwaka 2020, ambao tunaamini utakuwa ni mwaka utakaotawaliwa na harakati za kisiasa, ikizingatiwa kuwa ni mwaka ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu. Kwanza, tuwatakie Watanzania wote heri ya mwaka 2020, tukiwaombea kwa Mungu wapate…