JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ukatili wa kijinsia wakithiri Kakonko

Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma imetajwa kama moja ya maeneo nchini ambayo bado yanakabiliwa na matatizo ya ukatili wa kijinsia.  Takwimu zilizotolewa hivi karibuni zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2016 na mwaka jana, matukio 313 ya ukatili wa kijinsia yakiwamo…

Moto wazidi kusambaa Australia

Kuongezeka kwa joto kunazidi kuleta hali ya tishio kutokana na moto mkubwa unaowaka katika maeneo mengi nchini Australia. Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuwa ongezeko hilo la joto litaongeza ukame katika maeneo mengi, hivyo kutoa mwanya kwa moto kusambaa…

Marekani yaibana Iran, zakaribia kuanza vita

Maandamano ya vurugu yaliyotokea wiki iliyopita katika Ubalozi wa Marekani jijini Baghdad ni tukio la hivi karibuni ambalo zinazisogeza Marekani na Iran kwenye vita kamili, wachunguzi wa mambo wanaeleza. Maandamano hayo ni mwendelezo wa vurugu zilizoanza baada ya kuondolewa madarakani…

Netanyahu aomba huruma ya Bunge

Waziri Mkuu wa Israel anayekabiliwa na mashitaka mahakamani, Benjamin Nentanyahu, ameliomba Bunge kumpa kinga ya kutoshitakiwa katika kesi tatu za rushwa zinazomkabili. Hii ni hatua ambayo haijawahi kuchukuliwa na kiongozi yeyote wa Israel na wanaharakati wameipinga wakisema inazuia usawa mbele…

Karibu 2020, tumejiandaaje?

Toleo la leo ni la kwanza kwa mwaka 2020. Mwaka 2000 tukiwa Buruguni eneo la Sewa, nilikuwa na marafiki zangu kadhaa. Baadhi Mungu amewapenda zaidi, ila wengi bado tupo. Zilivuma taarifa kuwa mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia.  Wakati huo…

TRA yaanzisha mnada kwa njia ya mtandao

Watu ambao wanapenda kushiriki mnada kwa njia ya mtandao utakaokuwa unaendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni lazima wawe na simu ya mkononi au kompyuta mpakato iliyounganishwa na intaneti. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na…