JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mafanikio katika akili yangu (13)

Katika toleo lililopita sehemu ya kumi na mbili tuliishia katika aya isemayo: “Mimi ninaitwa Penteratha,” alisema. Profesa alipokuwa akiwatazama nyuso zao akagundua walikuwa na furaha halisi kutoka mioyoni mwao. Sasa endelea…  Penteratha akiwa anaendelea kuzungumza na Noel, profesa alimuuliza: “Hivi…

KASSIM MGANGA

Mwanamuziki asiyependa kujenga jina lake kwa kiki Kassim Mganga ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye amekuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa muziki wa mwambao, ambapo hivi sasa anatamba katika video yake ya Somo. Wimbo huo una maneno ya…

Mdogo wa Ali Kiba amkingia kifua Diamond

Bifu kati ya wanamuziki mahiri nchini, Diamond Platnumz na Ali Kiba ni jambo linaloeleweka wazi. Kuelekea mwishoni mwa mwaka jana wawili hao walizidisha msigano wao baada ya Diamond kumwalika Kiba kushiriki kwenye tamasha la Wasafi – Wasafi Festival. Lakini Kiba…

Ni wakati wa Wanyama kuondoka Tottenham

Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji ambao walitikisa sana katika soka kiasi cha timu kubwa kama Totttenham kumchukua katika kikosi chake, lakini leo hii Wanyama anakosa hata nafasi ya kukaa benchi pale Tottenham.  Huu ni wakati muafaka kwake kuondoka na…

Simba, Yanga hazishangazi

Ukiona Simba wanachukua wachezaji wengi kutoka Afrika Magharibi, Yanga nao watakwenda huko. Ukiona pia Yanga wanachukua kocha kutoka Ulaya Mashariki, Simba nao watakimbilia huko. Bahati mbaya zaidi Azam FC nao wameingia katika mkumbo wa kufuata siasa za Simba na Yanga. …

Siri ugomvi Dk. Kigwangalla, Profesa Mkenda hadharani

Chanzo cha ugomvi kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda, kimejulikana. Desemba 31, mwaka jana Rais John Magufuli akiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo…