JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Marekani na Iran: Yanayotuhusu na yasiyotuhusu

Dunia inashuhudia kuhatarishwa kwa amani baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuliidhinisha Jeshi la Marekani, hivi karibuni, kumuua kwa shambulio la kombora Meja Jenerali Qasem Soleimani wa Iran. Ni kawaida kwa Merakani kuua watu inayowatuhumu kwa jambo moja au…

Jibu la msamaha ni msamaha (3)

Epuka kuishi maisha ya kujitenga. Kujitenga na wenzako kunakuletea upweke. Mtaalamu wa magonjwa ya akili na Profesa wa Chuo Kikuu cha Harvard, Robert J. Waldinger, katika programu yake inayojulikana kama TED, inayopatikana katika mtandao wa kijamii wa YouTube anasema: “Tatizo…

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (13)

Unapanga na Mungu anapanga “Mja hutaka, Mola hujalia.” Ni msemo wa Waingereza. Katika mipango yetu ni vizuri kumuingiza Mungu. “Ukitaka Mungu acheke, mwambie juu ya mipango yako,” anasema Woody Allen.  Ukipanga mipango usisahau kusema: “Mungu akipenda.” Bila maneno hayo unamchekesha…

Kwa hili RC Chalamila amepatia

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, huwa hakosi vituko! Wengi wetu tulitarajia wiki iliyopita afungue mwaka mpya wa 2020 kwa kituko! Hakufanya hivyo! Badala yake ameukaribisha mwaka kwa kutoa maelekezo mazuri yanayopaswa kuungwa mkono, si Mbeya pekee, bali nchini…

Ukarimu ni mzuri, ubahili ni mbaya

Binadamu anaweza kuwa na tabia ya ukarimu au ya ubahili katika kuweka uhusiano mzuri au mbaya na wanadamu wenzake.  Ukarimu unajenga na unaenzi, na ubahili unaharibu na kubomoa uhusiano kati ya wanadamu. Hadhari kwa binadamu haina budi kutangulia kukinga ubaya…

Yah: Vita ya nje itatuathiri kama hatujitegemei

Kuna msemo wa Kiswahili kwamba wagombanapo fahali wawili ziumiazo ni nyasi. Nimeukumbuka msemo huu kutokana na malezi yetu ya ufugaji na uchungaji wakati huo, hasa pale ambapo tulikuwa tukikutanisha madume wawili wa ng’ombe au mbuzi wapigane. Ukweli ni kwamba chini…