JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Takukuru yanusa ufisadi fedha za ukimwi kwa makandarasi

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imefichua ufujaji wa fedha zinazotengwa na makandarasi kwa ajili ya kutoa elimu juu ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa jamii inayozunguka maeneo yao ya miradi. Fedha hizo hutengwa na makandarasi…

NMB inavyoijali jamii inamofanya kazi

Hakuna sheria maalumu ya jumla nchini Tanzania inayozilazimisha kampuni kuchangia miradi mbalimbali ya kijamii.  Licha ya sheria kuwa kimya juu ya kile kinachopaswa kufanywa na kampuni na wadau wa sekta za ziada katika kuwajibika kwa jamii kupitia CSR, zipo kampuni…

‘DAWASA tumejipanga kuwatumikia Dar, Pwani’

Hivi karibuni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya mahojiano na kipindi cha MIZANI cha Televisheni ya Taifa (TBC1). Katika kipindi hicho anazungumza masuala mengi kuhusu upatikanaji wa huduma ya majisafi na majitaka jijini Dar es Salaam pamoja…

Hatua za kufuata unapoagiza mzigo wako ng’ambo

Bandari imejipanga kuhakikisha mteja aliyeagiza mzigo nje ya nchi anapata mzigo wake kwa wakati bila usumbufu. Katika toleo hili tunakuletea hatua ambazo mwagizaji wa mzigo kupitia bandari zetu anapaswa kuzifuata ili aweze kuagiza na kuupata mzigo wake kwa njia rahisi. …

Ndugu Rais, unayo nafasi ya kipekee

Ndugu Rais, Malcolm X, mwanaharakati wa haki za weusi huko Marekani alipata kusema: “Nitaufuata ukweli bila kujali nani anausema. Nitafuata haki bila kujali inampendelea nani au ipo dhidi ya nani.”  Na kwa sababu hii, baba ninasema kwa sauti kubwa kuwa…

Mstaafu akopa mil. 1/- alipishwa mil. 39/-

Umekisia kisa cha Bi Juliana Kant Nyitambe, mkazi wa mkoani Mara na mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Kotwo iliyopo wilayani Rorya ambaye alikopeshwa Sh 1,000,000 na kulipishwa kwa lazima Sh 39,000,000?  Wakati anakopa aliambiwa riba ya mkopo huo ni…