JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watumia laini za simu kuukwaa uraia

Wahamiaji haramu na walowezi wanaoishi hapa nchini wanatumia mwanya wa usajili wa laini za simu wa ‘mwendokasi’ kujipatia vitambulisho vya taifa, JAMHURI limebaini.  Hali hiyo imeelezwa kuwapo katika mikoa ya pembezoni mwa nchi, na tayari malalamiko kadhaa yamekwisha kupelekwa kwenye…

Barrick kupunguza wafanyakazi 110 North Mara

Baada ya kukamilisha zoezi la kuimiliki Kampuni ya Acacia Mining, Barrick Gold Corporation ya Canada imeanza kutekeleza mikakati mipya ya kuiendesha migodi iliyokuwa ikisimamiwa na kampuni hiyo, ukiwemo ule wa North Mara uliopo wilayani Tarime. Mikakati hiyo inayolenga kuongeza ufanisi…

Biashara na Qatar yaongezeka maradufu

Mwaka 2012, biashara kati ya Tanzania na Qatar ilikuwa dola milioni 1.24 za Marekani, lakini miaka sita baadaye ilikuwa imeshamiri na kuongezeka takriban mara 31 hadi kufikia dola milioni 38.23 huku taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati likiwa ndilo…

Olduvai inajipanga vipi kutetea hadhi yake?

Uvumbuzi wa mabaki ya watu wa kale uliofanyika sehemu mbalimbali duniani unaweka rehani hadhi ya Bonde la Olduvai ambalo hadi hivi sasa ndilo eneo linalotambulika rasmi kama sehemu ambayo binadamu wa kwanza kabisa duniani aliishi. Licha ya kuweka rehani hadhi…

Ndugu Rais, machungu ya watu wa Mungu yauguse moyo wako

Ndugu Rais, wewe ndiye tuliyepewa uwe baba yetu sisi wote hapa nchini kwa wakati huu. Lakini baadhi yetu labda kwa kusikilizwa sana wanajiona wewe ni baba yao zaidi. Wajue wewe ni baba wa wote.  Tulikuwa pamoja sana kabla hujawa baba….

Uislamu unakataza kuwa ombaomba

Ombaomba, kwa mujibu wa fasili ya Kiswahili, ni mtu anayepata mahitaji yake kwa kuzurura mitaani na kuomba kutoka kwa wapita njia.  Ombaomba ni mtu mwenye tabia ya kuitisha usaidizi kutoka kwa wengine kila mara. Kwa ujumla, ombaomba ni mtu aliyeamua…