JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bandari ya Kyela yabadili maisha

Kwa miaka mingi mikoa ya Kusini ilikuwa imesahaulika. Katika makala hii tutawaelezea nafasi ya Bandari ya Kyela katika kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa Nyanda za Juu Kusini na nchi jirani za Malawi na Msumbiji. Bandari ya Kyela ambayo ipo katika…

Ndugu Rais na wapinzani karibuni kwangu chini ya mwembe

Ndugu Rais na wanao wapinzani karibuni mezani kwangu huku Mbagala kijijini. Chini ya mwembe huu panakumbusha mahali alipozaliwa Yesu Kristu, kwa imani ya Wakristu, mkombozi wa dunia. Alizaliwa ndani ya zizi la ng’ombe. Mwenyezi Mungu ayabariki malango yake yule mwanamwema…

Uislamu uanze na familia yako

Familia ni miongoni mwa maneno ambayo hakuna muafaka wa fasili yake. Kiujumla, familia ni kundi la watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto.  Kikundi hiki mara nyingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili…

Afrika haina shangazi wala mjomba

Bunge la Burundi limepitisha sheria itakayoidhinisha malipo kwa Rais Pierre Nkurunziza ya dola za Marekani 530,000 (Sh bilioni 1.22) na kumjengea kasri atakapostaafu, pamoja na posho anayopata mbunge. Wapo watakaoshangaa ukubwa wa mafao hayo, lakini wapo wanaoona kuwa malipo hayo…

Mabaraza ya ardhi ya kata yanabananga kesi za watu

Nimeandika mara kadhaa na kusisitiza kuwa Katibu wa Baraza la Ardhi la kata si mjumbe wa baraza hilo. Kwa sababu si mjumbe, hivyo ni kosa kubwa kumhesabu kama mjumbe. Kwa wasiojua lolote kuhusu Baraza la Ardhi la Kata ninaongelea chombo…

Shule za Serikali zinakwama wapi?

Januari 9, mwaka huu Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) lilitangaza matokeo ya mitihani mitatu ya kitaifa iliyofanyika mwaka jana.  Baraza la Mitihani lilitangaza kwa pamoja matokeo ya mtihani wa kujipima wa darasa la nne, kidato cha pili na ile…