JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Akamatwa kwa kung’oa bendera za CUF Kondoa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Kondoa Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma baada ya kukamatwa akiing’oa bendera na mabango ya Chama cha Wananchi (CUF) . Hayo yamejiri wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama…

MOIL: Tunaunga mkono kwa vitendo mkakati wa Taifa wa nishati safi

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI wa MOIL, Altaf Mansoor, ameishukuru Wizara ya Nishati kwa fursa ya kuandaa Kongamano na Maonesho ya Petroli Afrika Mashariki (EAPCE’25), ambalo limefanyika kwa siku tatu. Akizungumza katika kongamano hilo, Mansoor amesema kuwa…

Mhandisi Sanga akemea tabia ya baadhi ya makabila kusema ardhi ni mali yao

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mhandisi Anthony Sanga amekemea tabia ya baadhi ya watu kuita ardhi ya eneo fulani ni mali ya kabila fulani na badala yake amewakumbusha kuwa sera ya ardhi inatamka kuwa mali…