Latest Posts
PPPC yatoa mafunzo ya uwekezaji kupitia ubia kwa madiwani wa Ilemela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KITUO Cha Ubia kati Serikali na Sekta binafsi (PPPC) kimetoa mafunzo namna ya uwekezaji kupitia Ubia kwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza ambao wameambatana na Menejimenti ya Manispaa ya Ilemela…
Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
📌Mitungi 19,530 kuuzwa kwa bei ya ruzuku kwa lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye…
Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano
Na Mwandishi Wetu, Kibaha WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema jumla ya wilaya 108 nchini zimefikiwa na ujenzi wa miundombinu ya Mkongo wa Taifa hatua ambayo imesaidia kurahisisha mawasiliano ya data hususani maeneo ya vijijini. Naibu Waziri wa…