JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Unyanyapaa kwa WAVIU ni ubaguzi, dhuluma, dhambi

Wiki iliyopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), aliwaalika viongozi wa dini kushiriki katika kikao kazi baina yao na Bunge/NACOPHA katika…

Ajira mbaya kwa watoto yaitesa Arusha

Jiji la Arusha linakabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanaojihusisha na shughuli za kubeba mizigo katika masoko mbalimbali, jambo ambalo limesababisha wengi wao kukatisha masomo pamoja na kujiingiza katika vitendo vya kihalifu. Watoto hao wanafanya biashara za kubeba mizigo ya…

Je, mpangaji anaruhusiwa kumpangisha mwingine?

Upangaji una mambo mengi sana. Hii ndiyo sababu suala hili nalo limeguswa na sheria na kuwekewa taratibu aake mahususi. Kila mtu anajua kuwa upangaji si lazima uwe wa nyumba ya kuishi tu. Hata maeneo ya biashara na shughuli nyingine pia…

Jifunze kushukuru katika maisha (2)

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii wiki iliyopita tuliona umuhimu wa mtu kutimiza wajibu wake kwa kutoa shukrani.  Tuliona msemo wa mwandishi Fred De Witt Van Amburgh anayetukumbusha: “Shukrani ni fedha ambayo tunaweza kujitengenezea sisi wenyewe na kuitumia bila…

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (16)

Watu wa kusitasita nawachukia ‘Ningejua,’ na ‘kusitasita’ vikipandwa hakuna kinachoota. Kusitasita ni kutamani jana iendelee. Kusitasita ni mazishi ya fursa. Kusitasita ni mauaji ya neema. Kusitasita ni nukta katikati ya sentensi. “Anza kushona na Mungu atakupa uzi.” (Methali ya Ujerumani)….

Kwa nini Ibwera inafaa kuwa halmashauri

Zimejitokeza hoja mbalimbali za kwa nini wananchi wa Bukoba Vijijini wanapendelea makao makuu ya halmashauri yao yawe katika eneo la Ibwera, katika Kata ya Ibwera iliyoko kwenye Tarafa ya Katerero. Kwa vile kuna hoja zinazokinzana, ngoja tukazitazame hoja hizo kusudi…