JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mabilionea na hatima ya urais Marekani

Mabilionea wakubwa kumi nchini Marekani wana utajiri wa pamoja unaofikia dola nusu trilioni na athari za utajiri huo tayari zimekwisha kuanza kuonekana katika uchaguzi wa nchi hiyo. Matajiri hao wamejihusisha kwa namna moja au nyingine na uchaguzi huo, huku mmoja…

Makonda fanya haya, utapona

Moja ya mijadala mikubwa iliyotoka siku chache zilizopita hapa nchini ni hatua ya Marekani kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo, kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuingia nchini humo kwa tuhuma za…

Tanzania bado yasuasua matumizi ya 4G

Wakati dunia ikiingia kwenye teknolojia mpya ya 5G katika intaneti ambayo tayari imeshafanyiwa majaribio kwenye baadhi ya nchi, Tanzania bado inasusua kwenye matumizi ya teknolojia ya nyuma yake ya 4G na kusambaza mitandao inayowezeshwa na masafa hayo yaliyoanza kutumika mwaka…

Kifo cha Tim chazua simanzi dunia nzima

Ni tembo aliyekuwa na meno marefu sana Aliishi katika Hifadhi ya Amboseli, Kenya Mabaki yake kukaushwa, kufanywa kumbukumbu India yaweka rekodi ya tembo mzee zaidi duniani Alipewa jina la Tim na aliheshimika katika jamii yake. Huyu si binadamu bali ni…

TPA yafunga mtambo wa kisasa wa kufundishia Chuo cha Bandari

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imekamilisha kazi ya kufunga mitambo miwili ya kisasa ya kufundishia kwa vitendo (Full Mission Crane Training Simulator) katika Chuo chake cha Bandari kilichopo Wilaya ya Temeke, katika Mtaa wa Mahunda. Mitambo hiyo ambayo imeanza…

Ndugu Rais, upanga una makali kuwili

Ndugu Rais, wako waliosema dunia hadaa, ulimwengu shujaa. Kwa muoga huenda kicheko, na kwa shujaa huenda kilio. Waliosikia walibadilika na kuwa wema na hivyo wakaponyoka adhabu yake, lakini vimbulu walingojea mpaka wakaangamia kwa mateso makali! Unajitengenezea aina ya kifo mwenyewe…