JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kitambulisho cha Taifa kuunganishwa na kadi ya mpiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inajipanga kuingiza taarifa za daftari la kudumu la wapiga kura kwenye mfumo wa Kitambulisho cha Taifa ili ifikapo mwaka 2025 kitambulisho hicho kitumike kupigia kura. Mpango huo umebainishwa na Mkurugenzi wa Habari na Elimu…

Wananchi wawakataa watendaji mbele ya DC

Wakazi wa Kijiji cha Picha ya Ndege wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani wamemtaka Mkuu wa Wilaya (DC) hiyo, Filberto Sanga, kuwachukua watendaji wa kijiji hicho na kuwapangia kazi sehemu nyingine. Kauli hiyo ilitolewa na mmoja wa wakazi wa kijiji hicho,…

Ofisa Mtendaji ajeruhiwa kwa mkuki

Mtendaji wa Kijiji cha Vuchama Ndambwe, Jeremiah Daniel, amepigwa na kujeruhiwa kwa mkuki akiwa katika utekelezaji wa majukumu ya kiserikali na mkazi wa kijiji hicho anayetambulika kwa jina la Rashid Juma. Tukio hilo limetokea wiki iliyopita nyumbani kwa mtuhumiwa wakati…

KIJANA WA MAARIFA (14)

Amini kile unachotaka kukifanya na ukifanye Imani ni msingi wa mafanikio ya kitu chochote. Muda wowote unapotaka kuanza kufanya kitu iruhusu imani itembee mbele yako, kwani kuamini kwamba unaweza kufanya jambo fulani ni kama garimoshi lililoingia kwenye reli yake, lazima…

Uamuzi wa Busara (13)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi wananchi wanavyojitetea kwa kupigana lakini wanakwamishwa na ukosefu wa silaha za kisasa na ukosefu wa umoja miongoni mwao wenyewe. Hali hiyo inaelezwa kutokea baada ya mkoloni kuvamia nchi mpya…

Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (2)

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Sura ile ya 2, Kifungu Na. 40 (2) kinasema wazi: “Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais”. Lakini tunaweza kujiuliza iwapo utaratibu huu unainufaisha nchi kama Tanzania na katika vyama…