JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kikanda wa baraza la viwanja vya ndege Afrika (ACI) na maonesho ya wadau utakaofanyika April mwaka huu mkoani Arusha na kuambatana na mkutano wa 73 wa Bodi ya…

Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika kujengea uwezo watu wake, kubadilishana uzoefu, uongezaji thamani madini na kuwekeza kwenye kufanya tafiti mbalimbali ili kukuza sekta ya…

‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’

UKUAJI wa uchumi kwa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwakuendelea kuwa wa kasi ya kuridhisha kwa takribani asilimia 6 na asilimia 6.8, mtawalia. Ukuaji huu unatarajiwa kuchangiwa na ongezeko la uzalishaji katika shughuli za kilimo, utekelezaji wa miradi ya ujenzi, maboresho…

Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi Taifa (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kutoka na hali halisi inayoendelea kila nchi inaonyesha kuwa demokrasia inaendelea kuporomoka duniani. Prof.Lipumba aliyasema hayo leo Januari 7,2025 jijini Dar es Salaam…

Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi wa Pemba kuwa Barabara nyingi Kisiwani humo zitajengwa kwa Kiwango cha Lami. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo alipozindua Barabara za Kilomita 10 za Micheweni –…