JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tume Huru ya Uchaguzi nchini (1)

“Uchaguzi Mkuu ujao utakuwa huru na wa haki.” Ni maneno thabiti na kuntu yaliyotamkwa na Rais Dk. John Magufuli akiutangazia ulimwengu na wananchi. Kauli hii inatia mihemko na imani katika mioyo na vichwa vya Watanzania, pia wale wote wapenda haki…

Yah: Ipo siku ambayo tutaiona dunia kuwa jehanamu

Si kwamba ninapingana na vitabu vitakatifu, la hasha! Lakini nina uhakika mimi na wewe wote hatuna ushahidi wa kile ambacho kinatendeka huko mbinguni ambako hata mimi nina ahadi nako kwa kuishi maisha yenye raha sana iwapo nitatekeleza zile amri kumi…

Mafanikio katika akili yangu (21)

Katika toleo liliopita tuliishia katika aya isemayo: “Lakini mume wangu nina safari ya kwenda Afrika,’’ alisema mama yake Meninda. “Afrika unakwenda kufanya nini mke wangu?’’ aliuliza profesa kutaka kujua. “Ni safari ya kikazi nchini Tanzania,” alisema. Sasa endelea…  Profesa akaona…

Usaliti kwa upinzani ni usaliti kwa taifa

Mara nyingi nimesema kwamba kuna watu wanaofanya siasa wakijiita wanasiasa wakati hawaelewi chochote kwenye siasa! Hawa wanaonyesha kuwa hawapo mahali sahihi. Inawezekanaje mtu ajiite mwanasiasa wakati haelewi siasa ni kitu gani? Wanachofanya hao ni kutafuta masilahi kwa ajili ya kuendesha…

Koffi Olomide ataja siri ya kufanya muziki muda mrefu

Mkali wa muziki wa rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomide Mopao Mokonzi, ametaja siri ya kuendelea kuwapo kwenye muziki kwa muda mrefu licha ya kuwa na umri mkubwa. Olomide amesema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi…

Tufikirie kuleta waamuzi kutoka nje

Sitaki kuzungumzia matokeo ya mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba. Kila mtu anajua matokeo yake. Kuna yaliyowafurahisha na wengine wamekereka. Ila kwa ujumla ninataka tutazame juu ya waamuzi wetu ndani ya Ligi Kuu. Na sitaitumia tu mechi hiyo kuangalia…