JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (1)

Bakwata ni kifupisho cha Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, chombo cha kudumu kilichoundwa mwaka 1968 kuratibu, kusimamia na kuongoza shughuli zote za Waislamu nchini Tanzania (Tanzania Bara) kwa lengo la kutekeleza wajibu wa Waislamu wa kuendeleza na kuimarisha itikadi…

Si mwisho wa dunia lakini joto tunalisikia

Dini zote kuu hutaja siku moja ambayo maisha ya binadamu na matukio ya dunia yatafikia kikomo. Zinaonekana dalili kama tunakaribia huko. Nimekumbuka hili niliposikia tetemeko la ardhi likitikisa Butiama. Dini za chimbuko la Abrahamu zinafundisha kuwa mwisho wa kila kitu…

Hatua za kufuata unaponunua kiwanja/nyumba

Mara nyingi nimeandika kuhusu ardhi, hususan viwanja na nyumba. Katika kufanya hivyo, mara kadhaa nimejaribu kuwatahadharisha watu namna mbalimbali ya kisheria ya kuepuka kuingia katika migogoro ya viwanja na nyumba, hasa wakati wa kununua (wanunuzi).  Nimewahi kueleza vitu vya msingi…

Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (2)

Ninaomba kukunong’oneza jambo hili: Usithubutu kumuacha Mungu kwa ajili ya chochote, bali acha chochote kwa ajili ya Mungu, kwa sababu katika maisha chochote chaweza kukuacha wakati wowote. Lakini Mungu atakuwa nawe siku zote za maisha yako.  Siri kubwa ambayo unatakiwa…

Arobaini ni mwarubaini (2)

Wiki iliyopita tuliishia mahali ambapo tulianza kuwaangalia wale tunaowaita mashujaa wa imani walijipaka majivu. Majivu ni salio la moto, makazi yake ni jalalani. Ila yakisugua sufuria yenye masizi huifanya itakate! Japo tu dhaifu, tuna thamani zaidi ya sufuria. Majivu ya…

Askofu Gwajima si wa kuachwa

Amani iliyopo Tanzania ni tunu ya taifa. Haikuibuka tu kama uyoga pori. Ni matokeo ya kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na waasisi wa taifa hili. Wapo wanaodhani kuwa Watanzania ni tofauti na wanadamu wengi katika Afrika. Ni kweli tuko…