JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Waziri wa Afya kuna mahali unachezewa

Mheshimiwa Waziri, naomba nikushike sikio, labda kuna kitu kinaweza kukukumbusha juu ya ugonjwa huu wa mafua makali ambayo sasa yametuletea tafrani kubwa nchini na kusababisha mdororo kwa baadhi ya sekta. Elimu ni mojawapo ya sekta ambazo zimeathirika sana, si rahisi…

Mafanikio katika akili yangu (23)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akaichukua na kuipokea kisha akaiweka sikioni: “Haloo!’’ Sauti akaifahamu kuwa ni ya profesa mwenzake. “Mbona sikuoni, hauko kwenye baraza mwaka huu?’’ Profesa baada ya kusikia hivyo akashituka: “Kwani kuna baraza la mitihani gani hapo?’’…

Aliyeajiriwa anamtaka kijana akajiajiri

Tatizo la ajira ambalo linaendelea kusumbua nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, limegeuka kuwa ajenda kubwa katika mijadala ya aina mbalimbali. Mingi ya mijadala hii inalenga kutoa maoni juu na namna nzuri ya kukabiliana na tatizo hilo. Ajenda kubwa hapa ni…

JOSE CHAMELEONE

Mwanamuziki tajiri Uganda Jose Chameleone yaelezwa kuwa ndiye mwanamuziki anayeongoza kwa utajiri nchini Uganda, akikadiriwa kuwa na utajiri unaofikia Sh bilioni 1.5 za Tanzania. Aidha, anamiliki majengo ya thamani kubwa ya kukodisha (apartments), ziitwazo Daniella Villas, jijini Kampala na studio…

Metacha Mnata na bahati ya mtende

Mpira wa miguu ni mchezo wenye mambo mengi sana. Ndiyo maana soka ina a.k.a nyingi kama Koffie Olomide. Yeye ni Grand Mopao, Papa Fololo, Gangi ya Film, Le Jeune Pato, Quadra Koraman, Songe ya Mbeli, Le Grand Mbakala, Papa Rocky,…

Simba, Yanga lazima zilie

Zitalia sana! Nikukumbushe kwanza. Kikao cha Kamati ya Uongozi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeridhia baada ya siku 30 pale serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili na Ligi…