JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ni haki yako kuijua Sheria ya Mirathi

Mpenzi msomaji, ungana nami katika safu hii ufahamu maana ya mirathi. Mirathi ni mali iliyoachwa na mtu aliyefariki dunia kwa ajili ya kurithishwa warithi wake halali. Sheria imeweka taratibu maalumu zinazoongoza ukusanyaji, uangalizi, usimamizi, ugawaji na umiliki wa mali hizo…

Je, jicho lako la tatu linaona?

Unaweza kuwa na macho mawili bila maono. Unaweza kuwa na macho mawili yanayotazama lakini bila jicho la tatu linaloona: jicho la akili, jicho la moyo na jicho la imani. Kipindi cha siku 40 cha kufunga ni kipindi cha kufanya toba…

Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (4)

Mwaka 2013 nilichapisha chapisho la kitabu kinachoitwa ‘Lengo la Mpinga Kristo.’ Prudencia Onukwo, raia wa Kenya ni miongoni mwa wasomaji waliobahatika kusoma chapisho hilo. Prudencia alinitumia ujumbe mfupi kwa njia ya barua pepe, ujumbe huo aliupa jina la ‘Mwanadamu anaelekea kuzimu’. …

Marekani imethibitisha klorokwini kutibu corona?

Rais wa Marekani, Donald Trump, anadai kuwa dawa maarufu inayotibu malaria imethibitika nchini humo kuwa tiba dhidi ya virusi vipya vya corona. Klorokwini ni dawa ya zamani inayokubalika zaidi kama dawa sahihi kupambana na malaria duniani. Watu wanajiuliza, je, Trump…

Ummy asisitiza umakini maofisa mipakani

Katika kukabiliana na ugonjwa wa homa kali inayosababishwa na virusi vya corona, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka maofisa afya kwenye mipaka yote nchini kufanya ukaguzi wa kina kwa wageni wanaoingia nchini badala…

Maendeleo yanaletwa na watu

Mtu adilifu anatengeneza kitu iwe kwa kuunda, kurekebisha kilichoharibika au kisichofaa kwa matumizi, ili kifae.  Mtu dhalimu anavunja, anaharibu au anashusha hadhi ya kitu kilichotengenezwa. Anabomoa. Watu wawili hawa kila mmoja ana uhuru wa kuwaza, kutoa mawazo yake kufanya au…