JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

IGP Wambura awahakikishia usalama kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura amewakumbusha wananchi kutekeleza haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali ya mitaa tarehe 27 Novemba 2024 na kwamba Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi…

Bondia Jake Paul amkanda Mike Tyson

Bondia Jake Paul amefanikiwa kumtwanga Mike Tyson kwa Pointi za Majaji wote watatu. Katika pambano Lao la raundi nane lililochezwa Alfajiri ya Leo, Paul amemgalagaza mkongwe Tyson kama ifuatavyo. Lawrence Cole 73-79 David Lacobucci 72 – 80 Jesse Reyes 73-79…

Mradi wa umeme Rusumo kuzinduliwa Februari 25

📌 Dkt. Biteko asema umekamilika kwa asilimia 99.9 📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa 📌 Asema asilimia 52 ya umeme nchini inatumika kwa mahitaji ya wanachi 📌 Atoa wito kwa jamii kuhifadhi mazingira Imeelezwa kuwa…

Biharamulo kuwa kinara uzalishaji kahawa Kagera

Na Daniel Limbe,Jamhuri Media,Biharamulo IMEELEZWA kuwa serikali inakusudia kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kwenye wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ili kuinua uchumi wa jamii na kuchangia pato la taifa ukilinganisha na hali ilivyo sasa. Wilaya hiyo ambayo ni miongoni…

BoT kuendelea kudhibiti athari za huduma za mikopo mitandaoni (Kidigitali)

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika Kudhibiti athari za Huduma za mikopo ya kidigitali ikiwemo kuelimisha umma kutumia Huduma ndogo za Fedha zinazotolewa na mtoa Huduma mwenye…