JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mzaha katika mambo makubwa

Ujinga ni pepo la mabwege. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoanza kwa kusema. Anasema hivyo kwa sababu tangu serikali itangaze uwepo wa wagonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona, baadhi ya watu wanajitoa akili na kuleta mizaha mbele ya ugonjwa…

CORONA

Ukweli dhidi ya uzushi Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa corona miezi kadhaa iliyopita, kumekuwa na taarifa nyingi zinazotolewa kupitia vyanzo mbalimbali. Lakini baadhi ya taarifa hizo hazina ukweli kuhusiana na ugonjwa huo. Zipo taarifa nyingine ambazo ni za uzushi ingawa…

CORONA

Vita sasa ni kusaka chanjo Miezi mitatu baada ya virusi vya corona kuibuka nchini China na kusambaa duniani kote, wanasayansi hivi sasa wamejikita katika kutafuta chanjo ya ugonjwa huo. Tayari majaribio ya chanjo hiyo kwa binadamu yameanza wiki iliyopita katika…

Corona yasababisha biashara kudorora

Kutangazwa kuwapo nchini kwa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona kumesababisha kusuasua kwa huduma katika baadhi ya masoko jijini hapa. JAMHURI limetembelea masoko ya Kariakoo, Karume na Kisutu ambayo aghalabu huwa na idadi kubwa ya watu wanaouza na…

Kamati yaibua mengi Lodhia, Tanesco

Wananchi wilayani Mkuranga wameutupia lawama uongozi wa Kiwanda cha Nondo cha Lodhia wakidai kunyanyasa wafanyakazi na kutokuwa na ushirikiano kwa jamii inayokizunguka. Wakizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Subira Mgalu, hivi karibuni, wananchi ambao miongoni mwao ni…

Dar es Salaam ikiweza, Tanzania imeweza

Wiki iliyopita itabaki katika kumbukumbu miongoni mwa Watanzania wengi wa kizazi hiki kutokana na tishio la ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona kusababisha matamko na maelekezo kadhaa kutoka serikalini. Kwa mara ya kwanza katika miaka ya karibuni Tanzania…