JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Naamini corona nayo itapita

Nimejifungia hapa ndani wiki ya tatu sasa, ninadhani kwa sababu ninaelewa kauli za viongozi wangu juu ya afya na kujikinga dhidi ya maradhi haya yaliyojitokeza nchini.  Tumeambiwa kabisa wazee tuko kwenye hatari zaidi ya kuumwa na kupoteza maisha kama tukishikwa…

Mafanikio katika akili yangu (24)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akakumbuka alivyokutana naye alivyomwangalia kwa macho ya dharau na maneno machafu, hii ilikuwa baada ya Noel kumwambia yeye ni mwandishi. “Wewe mwandishi gani? Huoni waandishi wengine wanapendeza?’’ alizungumza binti yule kwa madoido na kujikweza…

Ni haki yako kuijua Sheria ya Mirathi (2)

Karibu katika safu hii mahususi kwa ajili ya kukumbushana na kuelimishana mambo kadhaa yahusuyo sheria mbalimbali, kwa sasa tukiitazama kwa undani Sheria ya Mirathi. Kuifahamu vema sheria hii kutakupa nafasi ya kuepukana na mianya ya uonevu iliyokithiri katika baadhi ya…

Ananga vituo vya redio

Imedaiwa kwamba kuporomoka kwa muziki wa dansi kumesababishwa na baadhi ya vituo vya redio zilizomo humu nchini kutokupiga muziki huo mara kwa mara. Madai hayo yametolewa na mwimbaji nguli, Khadija Mnoga ‘Kimobitel’, ambaye ametamka kuwa nyimbo za bendi za zamani…

Yanga, GSM na corona

Mashabiki wa Yanga wanalia. Wengi wanazungumza mambo mengi hasa katika kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Kisa ni sakata la klabu na Kampuni ya GSM ambayo iliamua ‘kujitolea’ kuwasaidia. Katika kipindi hiki ambacho dunia imejaa hofu ya virusi…

CORONA

Kwamba ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona upo nchini; hii inafahamika kwa watu wengi kwa sasa, lakini kubwa linalosisitizwa na wataalamu ni kuwa ugonjwa huu si sawa na mafua ya kawaida kama wengine wanavyodai. Utafiti unaonyesha kuwa virusi…