Latest Posts
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza kuwa inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 10, 2025, na Kamishna…
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
Na WAF – Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi cha miaka mitano (5) kwa kuzingatia vipaumbele vya pamoja. Utiaji…
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanawapa kipaumbele wazawa wa makampuni katika kuwapatia kazi za tenda. Makonda ameyasema hayo leo mkoani Arusha katika ziara yake…
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WIZARA ya Elimu Sayansi na Teknolojianchini,iko mbioni kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014, Toleo la 2023 na Mitaala Iliyoboreshwa Januari 31,2025 Jijini Dodoma. Hatua hiyo ni kufuatia Serikali kusikia michango na hoja mbalimbali zinazotolewa…
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wakubwa katika Sekta ya Uchumi wa Buluu ili nao wawasaidie wafugaji wadogo wadogo kuimarisha…
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme. Akizungumza wakati wa kampeni hiyo kwa Mkoa wa…